Mtu gani maarufu(Star) ushawahi fanyanae mapenzi ndotoni?

Beyonce........aaaaaah nimegegeda ile mbwa mweeeeeh yaani nimeigegeda mara nyingi hadi nikiiona naiona kama x wangu
 
Mimi ndiye mtu maarufu ambaye wengine huota wakifanya mapenzi nami
Nikipita beach manukato harufu mpaka samaki wana ruka kama nyani,
Wakifikiri Tsunami, kumbe wako wa ubani.
Katika fani ya kughani, niko juu ka rubani
Nimeshika ramani, tangu zamani
Nikipita barabarani vibinti vyamaka "jamaniii"
Kwani? Aya kama kuhani
Natema vitakatifu utafikiri nimemeza Qurani
MpakaMama Fulani anasahau ujirani
Na mie walii itabidi kujihami
Masela wala majani, mpaka watoto wa ushuani
Wote wanitambua ....
 
Daaaha hahaaha mjue mnazngua eeeh amna watu humu kumbee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…