Mtu maarufu ungependa sana kukutana nae na neno moja ambalo ungependa kumwambia 1. Zitto kabwe 2. Diamond 3.Ben pol 4.Dr slaa 5.AY 6. FA 7.Wema sepetu 8.JB 9.bell 9 10.shaa 11.Jonh Mnyika 12.Recho 13.lady Jaydee 14.Ommy dimpoz 15.Mwigulu Nchemba 16. Sugu 17.Barnaba 18.Halima mdee 19.vanenca Mdee 20.Januar makamba 21.Mwingine mtaje ambaye ungependa kukutana nae na neno unalopenda kumwambia Mf;R.O.M.A-nakubali sana nyimbo yako ya 2030