Mtu katolewa kwenye nyumba bila amri ya mahakama

Mtu katolewa kwenye nyumba bila amri ya mahakama

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Kuna mtu alishitakiwa mahakama ya wilaya akashindwa akata rufa
Alieshinda akatumia polisi na dalali kumtoa kwenye nyumba kwa kutumia dikrii ambayo haikuwa sahihi
Mshindwa baada ya kumuweka wakili ikagundulika dikrii ilikuwa difa
Akaomba hukumu ya kukazia hukumu akajibiwa hakuna akaomba mahakama itoe uamuzi kwa makosa hayo mahakama ikamjibu
Sio kila kitu mahakama inapokosea irekebishe
Sasa nawauliza wanasheria je ni haki hiyo
 
Ongeza nyama kidogo!
Mgogoro ulihusu vipi nyumba?
Defects gani zilikuwepo kwenye decree?
Njka ipi ilitumika kulmba marekebisho kwenye decree?
Majibu ya rufaa yalikuwaje?
 
Ongeza nyama kidogo!
Mgogoro ulihusu vipi nyumba?
Defects gani zilikuwepo kwenye decree?
Njka ipi ilitumika kulmba marekebisho kwenye decree?
Majibu ya rufaa yalikuwaje?
Decree ilikuwa tofauti ya tarehe na hukumu
 
Decree ilikuwa tofauti ya tarehe na hukumu
Sasa hiyo ni "fault" ya mahakama, hivyo sio ya sababu kubwa sana ya ku "challenge" kwani mahakama yenyewe "suo motto" inaweza ku "rectify" hilo kosa!
 
Back
Top Bottom