Mtu kubadilika na kuwa mweupe

Naren

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2016
Posts
692
Reaction score
428
Habari wanajamii,
Naamini humu kuna madaktari wazuri tu. Kuna swala linanishangaza tena sana, yaani inakuaje mtu kazaliwa mbantu kabisa "mweusi asili" na baada ya miaka kadhaa( takr. 35) anabadilika kabisa na kuwa mweupe sio weupe usawa wa mzungu bali weupe huu tuliouzoea kama wakichaga ama nyaturu. Sio mtumiaji wa vipodozi wala madawa ya ngozi kiasi kwamba huwezi kumkumbuka kama ulikutana nae miaka aliyokuwa mweusi, hii hali inaitwaje na inasababishwa na nini?

Mazingira: DSM
Mlo: mchanganyiko wa vyakula vinavyopatika DSM, alcohol (mtumiaji), sigara(sio mtumiaji), madawa(sio mtumiaji)
Organ transplant: never
Aina ya kazi:sedentary

Nikifahamu zaidi kuhusu hali hii ntashukuru!
 

Attachments

  • IMG_20170819_122655.jpg
    11.3 KB · Views: 62
Mmmh hapo kuna kidonge kanywa
Yaani mtu alikuwa mweusi tiii awe mweupe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…