Mtu kuficha "last seen info" kwenye Whatsapp... Swali...

Kuna haja gani ya yeye kujua mida unayoingia na kutoka?

Common sense would dictate that to be the case.

Kwa sababu, kama kweli huna cha kuficha na hufanyi lolote baya kwa nini ufiche fiche hiyo 'last seen'?
 
Mi sijaficha last seen yang ila nikitaka kujua when your online nnajua natumia whatsApp+ unaset upate notifications mtu akiwa online lakini yote haya ya nini? ? ? Kawaida muovu huwaza maovu yako na mwingne anatenda
 
Ni dalili ya kukosa uhuru?

Common sense would dictate that to be the case.

Kwa sababu, kama kweli huna cha kuficha na hufanyi lolote baya kwa nini ufiche fiche hiyo 'last seen'?

Labda tuanzie nyumbani, I mean hapa hapa JF.

Kwenye Login & Privacy Settings za JF kuna kitu kinaitwa Invisible Mode ambapo unaweza ku-set Invisible Mode on na Invisible Mode off.

Invisible mode inakuwezesha kubrowse, kuanzisha threads na ku-post bila kuonekana kama uko online.

Baadhi ya members wakiwemo wewe na Husninyo wame-set invisible mode.

Kwa kufanya hivyo ni dalili za kukosa uhuru pamoja na kuwa watu hao wanatumia anonymous ID?
 
Last edited by a moderator:

Hii ya invisible mode sidhani kama inahusika na kumficha mwenza wako chochote maana ukianzisha mada au ukichangia kwenye mada mchango wako utaonekana kwa wote.
 

kabiisaaaa. unanidai likes..
 

Unajua nafsi zina tafsiri pana sana. Kuna watu hapa jf wameshajengea id zao "nafsi" fulani... japokuwa najua hakuna mtu anamjua nje ya jf... lakini humu humu ana ka-dunia kake kenye hadi familia...
So anaweza kukosa uhuru...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…