Z zaka Member Joined Mar 8, 2012 Posts 30 Reaction score 3 Mar 23, 2012 #1 ndugu wana jamvi naomba msaada ninajisikia hali ya kutapika kila baada ya kula, tatizo nini hasa?
Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 100 Mar 23, 2012 #2 we mwanamke au mwanaume?
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Mar 23, 2012 #3 kama wewe ni wakiume mkuu itakuwa ni minyoo,nilikiwa na tatizo kama lako wiki mbili zilizopita but baada ya kutumia dawa ya minyoo hali imekuwa shwari,kama ni wakike kacheki mimba mkuu...
kama wewe ni wakiume mkuu itakuwa ni minyoo,nilikiwa na tatizo kama lako wiki mbili zilizopita but baada ya kutumia dawa ya minyoo hali imekuwa shwari,kama ni wakike kacheki mimba mkuu...