Mtu kuwa mchafu ni anaamua au hutokea tu automatically ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salam ndugu zangu.

Kuna mtu unamkuta mchafu, nguo chafu, anakolala kuchafu, meno machafu, anapenda kukaa sehemu chafu, anapenda kula kitu kichafu, anapenda kuoga maji machafu, masikioni mchafu, manywele machafu nk ni kwamba inamtokea automatically anajikuta mchafu au ni maamuzi tu kwamba ngoja niwe mchafu ?

Karibuni!
 
Mazingira anayoish ndio chanzo

Ndio mana mazingira mengine huwez kukuta nzi
 
Usafi ni HOBBY kama zingine,,kuwa msafi hakuhitaji uwe na NGUO NYINGI,,na kuwa mchafu sio lazima uwe na nguo chache,,unaweza ukawa MSAFI NA UNA NGUO kabati zima ,,,na unaweza kuwa msafi ukiwa na SHATI MOJA na suruali MOJA,,lakini kila siku ni msafi hatari...kushinda yule MWENYE nguo nyingi,,,USAFI au UCHAFU NI VILE UNAVYOJIWEKA....KUJIPENDA ni tabia ya mtu,,
 
Mengine uliyoandika yapo sawa, lakini mengine umebugi. Mfano mtu kuwa na suruali moja shati moja, ni vigumu sana kukontroo usafi.

Atafua sangapi ataanika sangapi, atanyoosha sangapi.
Ungesema "anaweza kuwa na nguo chache", lakini siyo moja.

Hii ni sawa na kusema mtu anaweza akawa na chupi pc1 akamshinda usafi mwenye nyingi, haiwezekani ukawa na1 halafu ukawa msafi.
Kifupi usafi ni kujitambua binafsi na kijijali.

Ingawa usafi ni suala mtambuka, likijumlisha na uwezo wa kiuchumi, lakini kwanza mtu awe anajitambua, pia malezi yanachukua nafasi kubwa katika suala zima la tabia ya usafi wa mtu.
 
IMG_0341.JPG
jibu ilo
 
Wengine uchafu wao unachagizwa na majini ,utakuta mtu ana jini kichwani na majini wengine wanapenda kukaa sehemu chafu chafu kwa hiyo automatically huyo mtu/kiti atakuwa mchafu tu.

Wengine uchafu wao unatokana na uvivu na ubahili uliopitiliza.
Hao kiti ndo wamfanye mtu awe mchaafuu..
 
Ukimkuta mtu mwenye sifa hizo na ana uwezo wa kipato utamtafakari vipi?
 
Mengine uliyoandika yapo sawa, lakini mengine umebugi. Mfano mtu kuwa na suruali moja shati moja, ni vigumu sana kukontroo usafi.

Atafua sangapi ataanika sangapi, atanyoosha sangapi.
Ungesema "anaweza kuwa na nguo chache", lakini siyo moja.

Hii ni sawa na kusema mtu anaweza akawa na chupi pc1 akamshinda usafi mwenye nyingi, haiwezekani ukawa na1 halafu ukawa msafi.
Kifupi usafi ni kujitambua binafsi na kijijali.

Ingawa usafi ni suala mtambuka, likijumlisha na uwezo wa kiuchumi, lakini kwanza mtu awe anajitambua, pia malezi yanachukua nafasi kubwa katika suala zima la tabia ya usafi wa mtu.
Mkuu,,,hujawahi kumuona mtu ana nguo MOJA na kila siku unamuona na nguo zile zile ila ni safi? Na mtu ana badilisha nguo lakini chafu? kama umeshasikia KAUKA NIKUVAE ndy kama hvyo,, anaweza akawa anafua usiku ,,au wanajuwa mwenyewe ana BALANCE vipi USAFI WAKE,,,wapo watu wa sina hiyo mkuu,,,kuwa na KABATI LA NGUO hakukufanyi ukawa MSAFI..na kuwa KAUKA NIKUVAE hakukufanyi ukawa MCHAFU
 
Back
Top Bottom