Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

Hahahah hahahha,
Tumeamua kufanya mambo yetu kimya kimya maana tumekundua wengi mnatuangalia kwa macho ya husda lol!
Hahahahahaaa sawa kwa hapo ntakachofanya ntajitahidi kuhack PM zenu tu
 
utumbo mdogo unakorofisha na nimekuja nijaze dawa kabla mgomo haujaanza mwee
Pole mwaya,bora umewahi maana hawa watalaam wameamua kukomaa na na maboss wao!!,
Mungu atakusaidia utapona mapema mpnz!
 
Hahahahahaaa sawa kwa hapo ntakachofanya ntajitahidi kuhack PM zenu tu
Hahhahaaa hahahahhaa,
Ushindwe kwa jina la yesu lol!
Hutupati ng'o,hata huko pm hatupo,nimehamia oficn kwake,
Kwahiyo tupo ana kwa ana,hahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…