Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

Poa bro,
Fanya mpango uvae shati basi!!!
Nakuonea huruma ni masiku kibao nakona kifua wazi hapo na boxer yako!!!

dar joto bhana, mi tisheti sijui mi shati naona inanizingua tu.
 
Mi sijaelewa miyeyuko kwa namna gani?????
Hebu fafanua vema

52 ! Pamoja na kuomba kwako ufafanuzi, na sijajua kama umeshafafanuliwa au laa,
Mimi probably nitoe ushauri "free consultation"
Thrade kama hii ya kumtafuta sijui Member miyeyusho as a leader !
Which/what the benefit we earn from it ?
Nionavyo mimi ni kama ufilisikaji wa mambo au vitu vya kimsingi unavinjari kwa baadhi ya member wanavyotakiwa kuvileta Mkekani.
Inshort inaonesha yale ya kimsingi yanapokua member kafilisika, anarudi ndani ya Jf na kuleta mada kama hii ,
baadae itakuja member gani mweupe/mfupi/mnene/mwembamba/big masaburi n.k haya ni mawazo yangu tu, kama mimi.
Wako watakaoona Thrade kama hii ina mvuto, na umaana, umuhimu simlaumu mtu ni wao na roho zao.
 
Miyeyusho kwani JF watu wanaweza kuyeyushana? Au ndio kwa wale wataalam wa "tukutane Kona Bar!!"??
 
dar joto bhana, mi tisheti sijui mi shati naona inanizingua tu.
Hahahah hahahha,
Na ulivosimama bila kubadilisha pozi hahahaha,
Fanya basi mpango ubadilishe hata hiyo boxer basi!
 
Hahahahaaaa Judgement Umenifurahisha sana hapo nilipo -Bold....teh
 
Miyeyusho kwani JF watu wanaweza kuyeyushana? Au ndio kwa wale wataalam wa "tukutane Kona Bar!!"??
dah Hongera! ila nimeshangaaa!!!? mpaka sasa hivi halijatajwa jina lako? enewei hata mie sijalitaja nimeamua kukaa kimya tu.
 
Wengine tumekulia ughaibuni miyeyusho maana yake nini?
 
Myeyusho kwa kwanza kwa muda huu ni ADI
Kanikimbiza mita mia saba, na sredi yake ya kudai madeni
Afu kumbe hewa

Sikubali, she will pay for this!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…