Mtu miyeyusho kuliko wote hapa JF

nilitegemea hili....he he he...
hakuna wayeyushaji humu JF kama Tanmo, Mtu chake na Ndallo....
hii thread ifungwe tu maana hakuna anayewazidi hawa......

itabd hao wapewe zawadi zao
 
Chit chat
 
Yaani nimecheck nae nimekuta deni lishalipwa, sasa sijajua nani kanilipia najaribu ku trace hapa..

mi ndo nimelipa. Vp umemalza kuwatch ile series? Kama tayar naomba uniazime.
 
mkuu, Preta is the most leading Melt shaji in Jey F, followed by (names withheld). Nimesema kwa kikwetu kuonesha msisitizo.

alkuyeyushaje? Lazma ipo sababu kubwa.
 
heeeey! Super myeyushaji, habari za kupotea bhana...

hahahaha.... huo uonezi huo Tanmo.... BTW Hongera kwa kulea naona mtoto kakua kweli kweli... au ndio kuyeyushwa kwenyewe? lol
 
hahahaha.... huo uonezi huo Tanmo.... BTW Hongera kwa kulea naona mtoto kakua kweli kweli... au ndio kuyeyushwa kwenyewe? lol

Kongosho anakutafuta, umemuona? Manake amekupania kweli kweli. Lol... Karibu tena Jei Efu, ila ukiondokaga basi ukumbukege kuaga.
 
Kongosho anakutafuta, umemuona? Manake amekupania kweli kweli. Lol... Karibu tena Jei Efu, ila ukiondokaga basi ukumbukege kuaga.

Ananitafuta wapi? Mbona tumeonana kabisa ananisaidia kukusanya madeni? Next time will heed in purple.... and THANK U in blue...
 
Myeyusho mana yake ni mtu nuksi mnafiki.. Majungu .mwongo .na mengine kama hayo kama vile ms. Yeye ni mfano mzuri. Anzieni hapa sitaki waongezeke kwa kuelezea maana ya myeyusho na yeyote atakayebisha kasoro mtoa mada pia atakuwa myeyusho. Of duty.
 
Ananitafuta wapi? Mbona tumeonana kabisa ananisaidia kukusanya madeni? Next time will heed in purple.... and THANK U in blue...

kuna wakati nimekutana naye jasho linamtoka, huku kavua hadi shati akaniuliza kama nimekuona. Hadi akapendekeza tukuite supest myeyushaji kwa jinsi ulivyomtenda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…