Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Polisi wakati wa maandamano nchini Kenya huku magari matatu ya Polisi yakichomwa motO na wananchi.
Maandamanano hayo yanaongozwa na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga yakiwa na lengo la kupinga uongozi wa Rais William Ruto.
Raila Odinga anatarajiwa kuongoza mkutano katika eneo la Kamukunji leo licha ya Polisi kupiga marufuku mkutano na maandamano hayo.
Several businesses closed in Machakos as anti-government protests continue