Siku zinahesabikaNdio mambo ambayo Asante CCM anatamani kuyaona kutokana na bandar
Mtavuruga aman na kuporomosh uchumi wa nchi haya ngoja tuoneSiku zinahesabika
✍️
Nawewe ndiyo unataka uje uuwawe kwa kufanya hayo maandamano?Ndio mambo ambayo Asante CCM anatamani kuyaona kutokana na bandar
nani aliyekufa kijinga hivyo anaheshimika mpaka leo na hiyo heshima ni ya nini inakusaidia niniKufa kwa haki ni heshima
Nani kasema atavuruga amani ?Mtavuruga aman na kuporomosh uchumi wa nchi haya ngoja tuone
huyu babu anatakiwa atandikwe sana mpaka asahau kwao anaivuruga kenya wala haijengiOdinga ni mlafi sana wa Madaraka, Siasa kwake ni uchochoro wa kujinufaisha bila kufikiria maslahi mapana ya taifa, Watu wa design yake huwezi ku deal nao kwa Demokrasia, anatumia udhaifu wa demokrasia ili kujinufaisha yeye na kikundi chake.
Maandamano yakitokea unafikiri amani itakuwep🤔Nani kasema atavuruga amani ?
✍️
Ni mlafi wa madaraka kama CCM walivyo walafiOdinga ni mlafi sana wa Madaraka, Siasa kwake ni uchochoro wa kujinufaisha bila kufikiria maslahi mapana ya taifa, Watu wa design yake huwezi ku deal nao kwa Demokrasia, anatumia udhaifu wa demokrasia ili kujinufaisha yeye na kikundi chake.
Au Lissu.Ni mlafi wa madaraka kama CCM walivyo walafi
Ni nchi hatari kuishi.WAKENYA akili zimeshikwa na mtu mmoja....they can't even think