Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 13, 2023 #21 Gharama za maisha zimeshuka baada ya maandamano🤣🤣
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Jul 13, 2023 #22 Magonjwa Mtambuka said: Gharama za maisha zimeshuka baada ya maandamano🤣🤣 Click to expand... Small minds. Mambo ya Wakenya yanawahusu Nini Wabongo? Acheni kuwashwawashwa. Hao Wakenya hata wakiamua kuandamana mwaka mzima maendeleo Yao yamuyafikii.
Magonjwa Mtambuka said: Gharama za maisha zimeshuka baada ya maandamano🤣🤣 Click to expand... Small minds. Mambo ya Wakenya yanawahusu Nini Wabongo? Acheni kuwashwawashwa. Hao Wakenya hata wakiamua kuandamana mwaka mzima maendeleo Yao yamuyafikii.
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Jul 13, 2023 #23 Mwachiluwi said: Ndio mambo ambayo Asante CCM anatamani kuyaona kutokana na bandar Click to expand... Na huwe front.
Mwachiluwi said: Ndio mambo ambayo Asante CCM anatamani kuyaona kutokana na bandar Click to expand... Na huwe front.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 13, 2023 #24 DATAZ said: Small minds. Mambo ya Wakenya yanawahusu Nini Wabongo? Acheni kuwashwawashwa. Hao Wakenya hata wakiamua kuandamana mwaka mzima maendeleo Yao yamuyafikii. Click to expand... Hivi wewe hujui kuwa hili ni jukwaa linalohusu mambo ya Kenya?
DATAZ said: Small minds. Mambo ya Wakenya yanawahusu Nini Wabongo? Acheni kuwashwawashwa. Hao Wakenya hata wakiamua kuandamana mwaka mzima maendeleo Yao yamuyafikii. Click to expand... Hivi wewe hujui kuwa hili ni jukwaa linalohusu mambo ya Kenya?
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jul 13, 2023 #25 KING KIGODA said: Na huwe front. Click to expand... Mimi tena?
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Jul 14, 2023 #26 Justine Marack said: Kufa kwa haki ni heshima Click to expand... Ila wewe unashukuru Mungu kwa kuendelea kuwa hai!
Justine Marack said: Kufa kwa haki ni heshima Click to expand... Ila wewe unashukuru Mungu kwa kuendelea kuwa hai!