kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,975 Reaction score 2,487 Jan 19, 2018 #21 Bila bila said: Yaani umenifanya niache Kazi yangu nianze kucheka. Hiyo Toothpick!!! Click to expand... hahaha hahaha
Bila bila said: Yaani umenifanya niache Kazi yangu nianze kucheka. Hiyo Toothpick!!! Click to expand... hahaha hahaha
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 1,653 Reaction score 2,045 Jan 19, 2018 #22 Al-Watan said: Ukitaka kudanganya angalau fanya utafiti. Karne ya 16 na Tippu Tip wapi na wapi? Click to expand... Nashangaaaaa
Al-Watan said: Ukitaka kudanganya angalau fanya utafiti. Karne ya 16 na Tippu Tip wapi na wapi? Click to expand... Nashangaaaaa
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Jan 19, 2018 #23 je Yule mwenye rasta refu anatoka siha
Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,614 Reaction score 17,626 Jan 19, 2018 #24 Sijaelewa hapo kwenye urefu wa futi nane na inchi 11.1 au Sentimita 2.72
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,233 Reaction score 8,022 Jan 19, 2018 #25 kashesho said: hahaha nacheka kama mazuri hilo lilikuwa jitu sio mtu. sipati picha angekuepo mpaka sasa. enzi za Nuhu watu walikuwa wakubwa sana toothpick ilikuwa ni nguzo ya umeme kwa sasa Click to expand... ! ! Duuuh tooth pick nguzo ya umeme
kashesho said: hahaha nacheka kama mazuri hilo lilikuwa jitu sio mtu. sipati picha angekuepo mpaka sasa. enzi za Nuhu watu walikuwa wakubwa sana toothpick ilikuwa ni nguzo ya umeme kwa sasa Click to expand... ! ! Duuuh tooth pick nguzo ya umeme
Kwetu kaya JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 582 Reaction score 475 Jan 19, 2018 #26 Next week nitapita hapo ngugwini na sio ngwujwin kama ulivyoandika. Panapo majaaliwa February nitakuja na feedback mtoa post tuwasiliane nipatr pa kuanzia
Next week nitapita hapo ngugwini na sio ngwujwin kama ulivyoandika. Panapo majaaliwa February nitakuja na feedback mtoa post tuwasiliane nipatr pa kuanzia