Mtu mwaminifu, mbunifu, na mwenye bidii anatafuta nafasi ya kazi

Mtu mwaminifu, mbunifu, na mwenye bidii anatafuta nafasi ya kazi

Joined
Jul 31, 2024
Posts
11
Reaction score
21
Habari za majukumu wakuu?

Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi itakayoniwezesha kutumia uwezo wangu na kuchangia kwa mafanikio ya mtu binafsi, shirika au kampuni yoyote.

Mimi ni mtu mwaminifu, mbunifu, na mwenye bidii kubwa katika kazi. Kwa sasa ninaishi Moshi, lakini niko tayari kufanya kazi katika mkoa wowote ambapo nafasi itapatikana.

Sifa Zangu:
  • Umri: Miaka 26
  • Elimu: Diploma katika Teknolojia ya Ufugaji Samaki (Aquaculture Technology)
  • Uwezo wa kutumia kompyuta kwa ufanisi
  • Leseni ya udereva
  • Uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza kwa ufasaha
  • Uwezo wa kujifunza na kuendana na mazingira mapya kwa haraka
Uzoefu:
  • Uzoefu wa miaka 3 katika kusimamia na kuendesha miradi ya ufugaji samaki na mifugo
  • Uzoefu wa mwaka 1 kama msimamizi wa bar (Bar Manager)
  • Uzoefu katika masoko na mauzo (Marketing and Sales)
  • Uzoefu katika utengenezaji wa maudhui mtandaoni (Content Creator)
Naamini kuwa na sifa na uzoefu huu, ninaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika nafasi yoyote nitakayopatiwa. Nitashukuru sana iwapo utanifikiria na kunisaidia kupata nafasi inayofaa.

Mawasiliano: 0621903381

Nitashukuru sana kwa yoyote atakae nisaidia kufanikisha hili.
 
Back
Top Bottom