Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mtu mwenye afya bora ambaye anazingatia balance nzuri ya chakula anapata haja kubwa kwa siku mara moja. Siku tatu mpaka nne itatokea tu kwa bahati mbaya akapata haja kubwa mara mbili katika mwez i.
Kama wewe unapata haja kubwa mara zaidi ya moja kwa siku kwa zaidi ya siku 10 kwa mwezi, utakuwa na shida katika mwili wako. Tafadhali ni PM Dr Msandawe nikupatie tiba stahiki
dawa kula vizuri na ushibe.Acheni kula chipsiungetangaza kuhusu nguvu za kiume
dawa kula vizuri na ushibe.Acheni kula chipsi
Kwa hayo maandishi ya Blue inamaanisha atakuwa na matatizo ya Ukosefu wa kupata choo kwa lugha ya kitaalam ugonjwa huo unaitwa kwa jina hili (Constipation)Mtu mwenye afya bora ambaye anazingatia balance nzuri ya chakula anapata haja kubwa kwa siku mara moja. Siku tatu mpaka nne itatokea tu kwa bahati mbaya akapata haja kubwa mara mbili katika mwezi.
Kama wewe unapata haja kubwa mara zaidi ya moja kwa siku kwa zaidi ya siku 10 kwa mwezi, utakuwa na shida katika mwili wako. Tafadhali ni PM Dr Msandawe nikupatie tiba stahiki