Mtu mwenye akili zaidi akikushikia silaha ya moto kichwani

Mtu mwenye akili zaidi akikushikia silaha ya moto kichwani

Mc2nyi

Senior Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
191
Reaction score
189
Him: *Akielekezea bunduki kichwani*

Me: “Mungu wangu, tafadhali usiniue, chukua chochote unachotaka usiniue tafadhali“

Him: “Niulize swali lolote ambalo unahisi sitaweza kulijibu ama sivyo nakuua“

Me: “….. sikuelewi ...“

Him: “ACHA KUJIFANYA HUELEWI, ULIZA MS***E WEWE!”

Me: “Okay, okay.”

Him: “…….”

Me: “hm.. Okay Nina swali. Ni nani aliiba pochi yangy mwaka juzi?“

Him: “Kaka yako.”

Me: “Hahahaaaaa, sio kaka yangu. Kwa taarifa yako sina kaka na wala pochi yangu haikuibiwa. Mama aliichukua na kuificha wakati anafikiria kununua vitu vingi. Nimekuweza wewe ms***e!”

Him: “Hapana, nimekuweza wewe, mimi ni geniuos. ”

Me: “eti… nini?”

Him: Akiunguruma kwa sauti ya hasira “Sikusema jibu liwe sahihi.”

Me: “……”

Him: “Kwa heri kilaza wewe.”

Me: “Owh.. Ms***e wewe”

PAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!
 
Hihihiii lugha gonganaaaa

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Mkuu hapo anajaribu kuelezea namna mtu bogus anaweza fall into a trap kwa mtu mwenye akili nyingi...

#the_forum
Umeelewa....akili zina matter sana maisha haya

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
nilikikuta jana hiki kichekesho kwenye Quora, leo tayari mshakitafasiri JF. huh!
 
Back
Top Bottom