Lakin kwa mda mrefu vyote kwa pamoja inatishaMpeleke kwa daktari, dalili hizo haziwezikuhitimisha ugonjwa wowote kwa uhakika.
Macho mekundu mtu anaweza kupata kwa kukosa usingizi tu.
Kuharisha hata kwa kula kitu ambachotumbo halipatani nacho unaweza kuharisha.
Mkojowa njano hata mtu mwenye afya nzuri tu asipokunywa maji ya kutosha atakojoamkojo wa njano.
Ni kat ya miaka 25-26... Imeanza taratibu sahv inaenda kuwa ndo kawaida... Homa anapata mara kwa maraKwanza kabla ya kukujibu ningependa kujua yafuatayo je huyo mtu ana umri gani na hiyo hali ya kuharisha imemuanza toka lini na vipi joto la mwili liko sawa nikimaamisha kuwa anahoma au yuko sawaaa na je kuna vitu vingine vinamsumbua mbali ma hivyoooo by Dr.RASO
Kwa sababu inatisha, hapo ndipo umuhimu wa kwenda kwa daktari unahitajika.
Ok....na vipi kuhusu nature ya hicho kinyesi anachotoa je kimechanganyika na damu au kipo kawaidaNi kat ya miaka 25-26... Imeanza taratibu sahv inaenda kuwa ndo kawaida... Homa anapata mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukraniduh pole sana, nenda hospitali ya karibu yeyeto , kuhusu dalili kuwa ni ugonjwa gani inategemea na prescriptions ambazo dokta atakufanyia...ila for imergence fanya kuangalia hali yake kabla ilikuaje, amekula nini, ninikimeanza na umri na mazingira anapoishi...kama kuna antibiotic atangulize kupunguza makali ya tatizo
ShukraniKwa sababu inatisha, hapo ndipoumuhimu wa kwenda kwa daktari unahitajika.
Kwa mfano, daktarianaweza kumpima damu na stool kujua kisayansi kwa kuangaliavimelea kwamba kuna ugonjwa gani.
Hata kama ukikutana na daktari hapa JF, kufanya vipimomtandaoni ni kimbembe.
Kwakweli madili ya udaktari yanakataza kuagua mtu anaumwa ugonjwa gani kwa kupewa dalili tu hivi mtandaoni.