Mtu mwenye kiwanja Dodoma Mjini tubadilishane, changu kipo Tabora Mjini Cheyo

baba anjela

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
431
Reaction score
310
Kiwanja changu kipo Tabora mjini maeneo ya Cheyo, ni karibu kabisa na mjini center.. Kwa sasa nipo Dodoma mjini..natafuta mtu ambaye anakiwanja Dodoma tubalishane..Kiwanja ukubwa wake ni miguu 28 kwa 40 kina offer.. Karibu unaweza kutuma meseji namba 0628448668 kwa maongezi zaidi.
 
habari za barter trade ni ngumu zama hizi mkuu, functions of money is to facilitate issue of portability, uza kiwanja chako tabora then nunua dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…