Mtu mwenye matatizo ya kusikia anaweza kupata leseni

Mtu mwenye matatizo ya kusikia anaweza kupata leseni

Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
1,053
Reaction score
2,757
Habari wakuu,

Natanguliza Pole kwa wahanga wa Ajali ya Treni uko dodoma! Kwa wenye uelewa naomba afafanue mtu sio kiziwi ila tu anaUpungufu wa kusikia kwa kiasi flani mtu uyu anaweza kukidhi vigezo vya kupata Leseni ya Udereva wa Gari??

Kwa nchi zingine ipo leseni maalum kwa watu kama awa ata Trafik akimsimamisha akiona iyo Leseni anagundua sijui apa TZ utaratibu wa kundi ili la watu upoje!

Wasalaaam.
Mitano tena.
 
Kwa bongo mtu akiwa hata na uoni hafifu haruhusiwikupata lesenisijui kwa wenye shida ya usikivu, ngoja tusubiri wadau.
 
Kwa bongo mtu akiwa hata na uoni hafifu haruhusiwikupata lesenisijui kwa wenye shida ya usikivu, ngoja tusubiri wadau.
Apo kwenye Uoni sio kweli Mkuu labda mwnye matatzo ya Uoni na wasiotumia Miwani kweli unatumia miwani unyimwe leseni??

Na ata wenye matatzo ya kusikia wanatumia hearing aid sasa apo ndo sijajua kama wanaweza kupata au Laah!!
 
Ukifanyiwa ukaguzi na kugundulika huoni vizuri huwezi pewa leseni swala la miwani ni kitu kingine.
 
Kama mtu ni kiziwi,why driving a car in the first place? It's not advisable.
 
Kama anauwezo wa kununua gari kwann ateseke kwenyè magari ya umma?
Swala hapa siyo kununua gari,ishu ni usalama wa dereva mwenyewe na abiria wake pamoja na watumiaji wengine wa barabara.Udereva huusisha Macho,masikio nk. kwa kiasi kikubwa mno na tafiti zimeonyesha ni kwa namna gani madhara makubwa yanavyoweza kutokea ikiwa utoaji wa leseni kwa dereva hautozingatia hayo pamoja na mengineyo
 
Back
Top Bottom