Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,053
- 2,757
Apo kwenye Uoni sio kweli Mkuu labda mwnye matatzo ya Uoni na wasiotumia Miwani kweli unatumia miwani unyimwe leseni??Kwa bongo mtu akiwa hata na uoni hafifu haruhusiwikupata lesenisijui kwa wenye shida ya usikivu, ngoja tusubiri wadau.
Kama anauwezo wa kununua gari kwann ateseke kwenyè magari ya umma?Kama mtu ni kiziwi,why driving a car in the first place? It's not advisable.
Swala hapa siyo kununua gari,ishu ni usalama wa dereva mwenyewe na abiria wake pamoja na watumiaji wengine wa barabara.Udereva huusisha Macho,masikio nk. kwa kiasi kikubwa mno na tafiti zimeonyesha ni kwa namna gani madhara makubwa yanavyoweza kutokea ikiwa utoaji wa leseni kwa dereva hautozingatia hayo pamoja na mengineyoKama anauwezo wa kununua gari kwann ateseke kwenyè magari ya umma?
Mtu uyu Sio kiziwi totally soma uzi vizuri ,Ni ana matatzo ya kusikia sio kwamba hasikii chochote mkuuKama mtu ni kiziwi,why driving a car in the first place? It's not advisable.