tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Ujasiriamali bongo ndugu yangu ngumu sana kutoka..na tena hiyo ni professional! Kama amezoea kuajiriwa hata km atakuwa na mtaji wa milioni 100 kwa bongo yetu aendi kokote...Ushauri wangu endelea na kazi yako ya benki..mbona nzuri km unaweza save milioni 30!Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe
Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe