Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza Muziki

Mtu mwenye uwezo wa kutengeneza Muziki

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza muziki kwa kutumia program za Computer ili nimuunganishe nma mtu ambae ni mtaalamu kias lakini ana vifaa ambavyo vitawawezesha kufungua studio ndogo kwa ajili ya kurekodi Nyimbo na Video.

MASHARTI
· Awe mkazi wa Dar es Salaam
· Awe mwaminifu
· Awe ana uwezo wa kutengeneza beats na vocal
· Awe na eneo ambalo ataweza kuweka hivyo vitu kama studio
· Awe eneo ambalo linafikika kwa haraka
· Awe serious na kazi hii.
Kama unakidhi vigezo hapo juu, PM maelezo yako na namba yako ya simu then ntampa muhusika atakupigia.
 
Back
Top Bottom