Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, lakini naona kwao ni tofauti

Mtu mwenye utimamu wa afya ya akili,tafadhali naomba anipe mantiki ya kufa kwa upinzani kunakosemwa na CCM.
 
Mbona w Mbona wewe hawajakua upo hapa jf una mwaga uharo wako hapa kwa jina fek acha uchochezi wako tz tupo salama kabisa.
 
Ndio hivyo,huyu JPM na serikali yake tutaendelea kumkosoa na kumdhoofisha mfululizo mpaka muda wake utakapokwisha!
Hilo unajidanganya. Magufuli humjui wewe. Yeye anazidi kuchapa kazi na nikueleze sisi watu over 50 yrs tunampenda sanaaaana kwa vile tuna experience ya watu walioingia madarakani kwa minajiri ya kujinufaisha. Lakini JPM si hivyo, yeye yupo kwa ajili ya kuiendeleza nchi. Mfano JK alikuwa ni kinyonga katika utawala wake na nyie under 50 mkamuona ni okay sie tulimchukia sana, ndiyo maana hata vichelema vikina Makamba vikadhani navyo kuingia ikulu ni rahisi.

Suala la upinzani ni itikadi kijana. Kila utawala lazima uwe na wapinzani hapa duniani. Nchi bila upinzani haiwezi kusonga mbele.

Mnapomkosoa mnamjenga kwa vile anajisahihisha na kuendelea kuijenga nchi. Kumdhoofisha kwa lipi?
 
Mtu mwenye utimamu wa afya ya akili,tafadhali naomba anipe mantiki ya kufa kwa upinzani kunakosemwa na CCM.
Kufa kwa upinzani kunakosemwa na CCM ni pale inapotimiza matakwa ya wengi au kujikosoa inapojikwaa
 
Hapendi kukosolewa mpaka anatamani kuzima mitandao!Sasa nasisi tutaendelea kugonga kwenye mfupa!Acheke anune tunaye,hawezi kumaliza upinzani na hilo tutamuonesha kwa vitendo!
Siwezi kuwa kwenye same page na muuaji,mtesaji,mtekaji na anayebambikizia wengine kesi kisa siasa tu!
 
kijana Unaumwa si bure
 
Huoni aibu kwa ujinga huu uliopost mkuu
 
Ni upumbavu kumuona MTU anaandika Uzi kama huu wakati nchi inadidimia kwa kauli zinazo onyesha wazi nchi kama nchi inaangamia na kupoteza heshima huku mkiufanya uendeshaji wa nchi kama ushindani wa Simba na Yanga
Ni upumbavu mtu kuiba kura au kufunga watu au kuuwa mtu kwa ajili ya siasa ili ubaki madarakani
Ni upumbavu mtu kutapeli hela za walipa kodi
Ni upumbavu mtu kusema huna corona halafu ukachukuwa euro milliom 27 na hutaki kuulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…