Mtu na dada yake wafunga ndoa! [PHOTOS]

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970


Whitney Houston's daughter Bobbi Kristina Brown has tied the knot with Nick Gordon, it has been claimed.

The daughter of the late singer posted a picture of the pair holding hands, showing off what appeared to be wedding rings, with the caption: "'#HappilyMarried So #Inlove if you didn't get it the first time that is."

She wrote: "I'm tired of hearing people say 'Eww you're engaged to your brother' or 'If Whitney was still alive would we be together' or 'Would she approve of this.' MORE PHOTOS
 
Hivi haka ka binti kaliacha substance abuse?
 
Nasikia harufu kali sana ya bange
 
kama niao sijaona tatizo.ilo jambo kwa loyolo clan halitatokea ever as am still alive under the sun and moon
 
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.
 
hawajachangia mzazi hata mmoja,

huyo wa kiume alikuwa ni mtoto aliyekuwa adopted na Whitney,

Hivyo hakuna undugu wa damu kati yao.

Kama wanapendana kwa dhati nadhani badala ya kuwalaumu wangewaunga to mkono na kuwasapoti!
 
hapo hakuna kuachana hata iwe vipi kwasababu ni ndugu
 
Hapa ukristo umeingia vp? Ninyi ni aina ya watu ambao hamkustahili mpate hata access ya JF, maana mnajitahidi kwa nguvu zote kupandikiza mbegu za udini. Embu angalia nchi Africa ya kati baada ya kufanikiwa kuitunbukiza nchi kwenye machafuko ya udini; nani kapatikana mshindi?
Hawa jamaa mbona kama wakiristo? Wache na imani yao... Wameshazoea mambo hayo.
 

Kuna jimbo moja huko lakini juzijuzi wamehalalisha uvutaji wa bangi, hudhani kuwa pengine ndiyo madhara yake yanazidi kuenea kuelekea sehemu zingine?
 
Waacheni walale!
Hawana undugu hao na wameamua ili kumuenzi mamayao.
Sio ndugu. Binti ndo binti kijana alikuwa akisaidiwa na whit so.. For me its okay tena ndo upendo wadhati. Its awkward though ila as they r not related by blood i see nah problem kwakweli!
 
Kuna jimbo moja huko lakini juzijuzi wamehalalisha uvutaji wa bangi, hudhani kuwa pengine ndiyo madhara yake yanazidi kuenea kuelekea sehemu zingine?

mkuu sivyo unavyowaza! Ile ni story nyingine na hii ni nyingine. Jaribu kufuatilia taarifa mkuu...!
Ya bange has nothing to do with this family na hawa wameanza kudate jus just after The death of their mom,and the marjuana imealalishwa kwa vipimo majuzi tuu hapa. So sio kweli kuwa nimadhara ya bangi.
 
hawana mahusiano ya damu ....waacheni!
 
Tuache unafiki, someni vitabu vya dini awali walioana vp km sio ndudu
Rahel na yakobo
Isaka nk wote walioa ndg zao
Hii mpk leo ipo uarabunu
 

Inaelekea huo mchezo waliuanza tokea huyo mama akiwa hai,mambo haya yanatokea sana majumbani pindi ndugu wasio wa damu wanapoishi nyumba moja
 
Inaelekea huo mchezo waliuanza tokea huyo mama akiwa hai,mambo haya yanatokea sana majumbani pindi ndugu wasio wa damu wanapoishi nyumba moja

ndio ila mwanaume ni adopted na wakike ndo mtoto wa whitney.ikiwa mtoto wa mjomba ama shangazi unaoa sembuse hawa ambao hata unasaba hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…