Hatimaye. Tupange tu tuonane.Castr
Uuuh here I amKuna mdada mmoja napenda awe na urafiki na mke wangu anaitwa Heaven Sent
Mimi ni kama mtengenezaji Cocaine, yeye anaitengeneza lakini haitumii... Kwahiyo aondoe shakahahahhhh usije ukamfanyia zile sinema zako
How is you leading by one shot on targetUuuh here I am
Hahahaaaaaa bila shaka wewe ni mchagga tena mkibosho mkuu kupitia hiyo ID yako.
Hahahaaaaaa bila shaka wewe ni mchagga tena mkibosho mkuu kupitia hiyo ID yako.
Kwa bibi kule...tutaonana panapo majaaliwa.
Tuombe tu uzima mpendwa. Naamini hata mimi nina la kujifunza kutoka kwako.
Teh teh..Motoni kumeshajaa mkuu..Jiandae kukutana nao pia motoni
Amen HS You real Inspired me in many ways. I'm gratefully for that. Wish to see each other one day. Stay blessed alwaysTuombe tu uzima mpendwa. Naamini hata mimi nina la kujifunza kutoka kwako.
Afadhali bwana.. wacha tujiandae kuingia paradise kwa mbwembweTeh teh..Motoni kumeshajaa mkuu..
Amen swts. Stay blessed too[emoji120] [emoji120]Amen HS You real Inspired me in many ways. I'm gratefully for that. Wish to see each other one day. Stay blessed always
Yeah..Kama ukitangulia kwenda andaa KilingeAfadhali bwana.. wacha tujiandae kuingia paradise kwa mbwembwe
[emoji16][emoji16] haya bwanaYeah..Kama ukitangulia kwenda andaa Kilinge
binti wa kirombo Huna haja ya kutumia hata nauli yako, wewe nielekeze nitakuja mwenyewe
Vitu lazima viwekwe mezani,maana wadau tutakuwa tumekutana.jina halisi unapiga balimi lakini maana nataka tulikutana nijitwike kichwani crate ya balimi
[emoji16][emoji16][emoji106][emoji106] kama unagusa upo vizuriVitu lazima viwekwe mezani,maana wadau tutakuwa tumekutana.