[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106] kama unagusa upo vizuri
Tuombe uzima mkuu. Ipo siku tutaonana panapo majaaliwa.Emmyta, joanah na mshana
Ni kweli mkuu emmytaTuombe uzima mkuu. Ipo siku tutaonana panapo majaaliwa.
[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kolabo ya bhangi na burudani wineMshana Jr & Faiza foxy
Hoja nzuriKwa kweli mi yeyete tu kwangu mzuka,,maana wote wananifanya niwe ok huku jamii forum japo tunapishana kimtazamo bt hakumaanishi sitaenjoy kukutana na yyte
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakuna aliyekutana na mshana jr na akaishi
Nikimbushe mkuu!!! Ntakualika
We jitekenye tu!!!Paprika ni wangu
Nakukumbusha tukutane lini PaprikaNikimbushe mkuu!!! Ntakualika
Nije na wallet au niiache?okey karibu sana
Tuweke mipango[emoji6] [emoji6]I want to meet Joanah, in deed!
Joanah, indeed!
Natamani kukuona pia [emoji4]Joanah
Mie pia nawish sana nikuone AntonioEmmyta, joanah na mshana
[emoji3] [emoji3]Natamani sana kukutana na Joanah..kama ndivyo alivyo hakika mtasherehekea humu..seriously!
Itakua bora tukiweka mipango ya kuonana japo ata kwa dk chache joanahMie pia nawish sana nikuone Antonio