Asipomalizia mahari nampokonya naenda kuchukua mahari kwingine.Haha kasema anahofia mtampokonya mkewe
Teh vyuma sio vizuri, tunakopeshana hadi wakeAsipomalizia mahari nampokonya naenda kuchukua mahari kwingine.
Tutafanyaje sasa!Teh vyuma sio vizuri, tunakopeshana hadi wake
Niambie ulipo nikutafuteBaby
Na weweWewe ushaonana na wote humu sasa unataka uonane na nani tena?
Sasa tuonane mara ngapi jamani?Na wewe
Kwani umechoka kuonana na Mimi?Sasa tuonane mara ngapi jamani?
Ndio, mwaka mpya na mambo mapya.Kwani umechoka kuonana na Mimi?
Ntakufwata hata ndotoniNdio, mwaka mpya na mambo mapya.
Daah wewe jamaa kwa kujisetiaga target...Ntakufwata hata ndotoni
Teh teh teh teh.....Sasa tuonane mara ngapi jamani?
Njoo tu hata mimi nimekumiss.Ntakufwata hata ndotoni
Ndio maana nilimuacha, angeniua kwa bp huyu[emoji134]Daah wewe jamaa kwa kujisetiaga target...
Teh teh teh teh.......
Bado wewe na fisadi.Teh teh teh teh.....
Hahaha yule mtoto wa Saint Constantine yulee ngoja arudi Dar kwanza ndiyo utamwona......Sasa hivi anamalizia kuhesabiwa kwanzaaa.......Bado wewe na fisadi.
Teh teh..Hawa wakwetu bro..Daah wewe jamaa kwa kujisetiaga target...
Teh teh teh teh.......
Nakuja na slogan ileile..Hapa kazi tu..JiandaeNjoo tu hata mimi nimekumiss.
Basi hakikisha mnakuwa pamoja siku ya kuonana.Hahaha yule mtoto wa Saint Constantine yulee ngoja arudi Dar kwanza ndiyo utamwona......Sasa hivi anamalizia kuhesabiwa kwanzaaa.......