Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Niwakute mko njwiiiiiiii. Ila fisadi aliniambia ameacha pombe, ukute wewe ndio unamrudisha ushetanini!!
Hahahaha,
Hapaa bwana hatutumii kabisaa.
Wewe ukiwa unakuja ni lazima tutajiheshimu.
 
Hahahaha,
Hapaa bwana hatutumii kabisaa.
Wewe ukiwa unakuja ni lazima tutajiheshimu.
Mmmmh!! Nyie vyuma vimelegeaje wakati dada yenu hali si hali[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Teh teh..humu humu ndani?
Hapana mtandao fulani hivi miaka ya 2007.
Nkasema totoz mimi basi tenaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Humu JF siogopi mtu kabisa,
Kwasababu baada ya lile tukio sitaki totoz tena,
Nimebakiza marafiki tu mtandaoni.
 
Huh!! Mie huwa siahidiwi my kaka. Nitakudai hadi ujute.
Mimi ntakusimulia tu,
Yalitokea 2007 nshayasahau kabisa.
Wewe nikumbushe tuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…