We jishaue tuWeeeeh usiniambie!! Nakuja pm[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ahsante bro..Maan,
Hongera saana.
Waswahili tunasemaga maisha ni popote pale.
As long as mna fully fledged compatibility basi kila kitu ni bukheri.......
Nifungulie basi, nina habari njema iletayo wokovu mpenzi.We jishaue tu
Happy birthday dear, mwenye enzi akujaalie umri mrefuu kama wangu.Maan,
Hongera saana.
Waswahili tunasemaga maisha ni popote pale.
As long as mna fully fledged compatibility basi kila kitu ni bukheri.......
Happy birthday mpendwa....J3 itakuwa siku yangu ya kuzaliwa nikumbushe ntakuambia.......
Hahaha,Hapoy birthday dear, mwenye enzi akujaalie umri mrefuu kama wangu.
Ahsante sana ndugu yangu.Happy birthday mpendwa....
Karibu sana mkuuJoseverest[emoji16][emoji16][emoji16]
Ni zaidi ya typing error, Macello nasikia ni mchezaji wa mpira huko ulaya.Mkuu upo sahihi kabisa kwenye kubisha,typing error hao jamaa hawajaziona
Haswaa, itapendeza!Freyzem
Tupasuane vichwa tu
Kama ktk thread ya KAMA UNASTRESS PITIA HAPA[emoji2]
Akiwemo skyeclat uliyempiga vitasa...🤣🤣[emoji23]Nimekutana na watu very potential ndani ya forum na tumefanya mengi ya manufaa.... HAWAKUWA WATOTO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haswaa, itapendeza!
Sikia bhana....
Sinikajua nimemaliza kuona vitu vyote Duniani[emoji289][emoji288]
Mara paaap sinimekutana na msukuma Leo ana Tatoo ya M.pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe una tatoo yoyote mkuu...?[emoji2]
Ana chura?[emoji23] [emoji23]Mimi natamani nimuone Papilika![emoji176][emoji176][emoji176][emoji1]
Mh mjumbe vuta subira kidogo na ubane mdomo usiwe wazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu ngoja nisubiri atakae sema.....
Anatamani kukutana na mimi..[emoji101]
Sawa nakusubiri uniPMngoja nimpm chaap naona hajatajwa bafo
Hongera sana mh mjumbeLeo nimepata bahati mubashara tena mujarab kabisa.....[emoji5] [emoji5] [emoji5]