Mtu nnayetamani kukutana nae Face to Face kutoka JamiiForums

Mke wa Mganga umemsahau.....
Hahaahaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndugu mjumbe, una visa sana wewe....
Usinitafutie kurogwa mie...tehteehh
Lakini jana mke wa mganga alitangaza mubasahara kuanza maisha mapya
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaahaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ndugu mjumbe, una visa sana wewe....
Usinitafutie kurogwa mie...tehteehh
Lakini jana mke wa mganga alitangaza mubasahara kuanza maisha mapya
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Basi ngoja nirushe ndoana naweza kuambulia sato[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maana yaliyomo yananiacha mdomo wazi...
 
Wale wote wanaoandika vituko humu na matusi nataka nione maisha yao ya nje
 
#mshana jr ni kiumbe kisicho onekana
 
Kweli chief, hii avatar nimegundua inaniangusha sana humu jamvini. Yaani watoto wote hawanizimii kabisaaaa....
Mtoe huyo raia aisee... Maana watu washazoea hata wanapoiona tu hiyo picha hata kwenye Watsapp wanavuta picha ya Ushimen πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…