BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Mshana jr inabidi aitishe mkutano maana wengi tunamkubali
Anabusara au unamkubali katika mambo fulani ya wizardMshana Jr huyu jamaa noma sana ana busara hatari.....
Si kweli...wanawake wengi wapo FB sio JFNinachoipenda jf wanawake ni wengi kuliko wanaume
Nimeona mkuu, mbuzi amedondokea kwa mpika supu....[emoji39] [emoji39]Mbona umetajwa Hapo tayari
Ninachoipenda jf wanawake ni wengi kuliko wanaume
Ninachoipendea jf wanawake ni wengi kuliko wanaume sas jichangany uone
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Anabusara au unamkubali katika mambo fulani ya wizard
Kijana anataka ajaribu sumu kwa kuilamba...[emoji13] [emoji13] [emoji13]Nina sumu ujue[emoji3] [emoji3]
Upo sawa comradeMi apa
ni kutuona tu mkuuShunie,Ukhuty,Mahonda,...pia Miss chaga unahusika...................
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatzo hiyo mijino yako watu wanahisi kuwa ww ni robot si unamkumbuka mdau mmoja humu aliwahi sema kuwa humu kuna maroboti mkuu?
hahahhhhNinachoipendea jf wanawake ni wengi kuliko wanaume sas jichangany uone
Nazeeka kwa mbio za mwendokasi, ndio maana nilishindwa kuona aiseeeee...Mbona tyr washakutaj mkuu