Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ooohmm nataka kuwaona hawa apa wakuitwa lee empire na sakayo na shemela wangu shululu
Mshana jr atakuambia mkutane Makaburini [emoji12]1. Mshana JR.
2.Max Macello.
Ni matamanio yangu Siku moja nikutana na hawa watu na kubadilishana nao Mawili Matatu.
Ww unatamani Ukutanae na Mwa JF Yupi. ?
Yaani hata wewe hujanitaja....😡😡😡yaan umeongea kwa hisia sana mkuu tutaonana tu usijal
Mkuu, ikitokea tu ukakosea Kiswahili basi jiandae na hii sentensi:Fauzia FOX...akiwa katika UBORA wake....
Huyu dada ni same name na njia kando yangu...
Ntakuona wapi babe......................?Usijali ipo siku utaniona tu
Na mambo mengine ya ziadani kutuona tu mkuu
sawa tutaonana
Sis, kuna siku ntakuona tu. Nahitaji sana uzoefu wako kwenye masuala ya ujasiriamali. I know you have made it....Me, myself and I only!
hayo ya ziada haiwezekani mkuuNa mambo mengine ya ziada
Shedede je?mm nataka kuwaona hawa apa wakuitwa lee empire na sakayo na shemela wangu shululu
Hata nikichana wallet mkuu.............fanya wepesi, we nawe.....!!!!!!!!!!!hayo ya ziada haiwezekani mkuu
hata kuonana pia nimeghaili haiwezekani mkuu mm nina mumeHata nikichana wallet mkuu.............fanya wepesi, we nawe.....!!!!!!!!!!!