LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
*Mtu sahihi*
-Anaamka saa 11 alfajiri kila siku.
-Anafanya mazoezi
-Anatandika kitanda chake
-Anasafisha chumba chumba
chake
-Anafanya kazi kwa bidii
-Hanywi pombe
-Anasaidia kazi za jikoni
-Hazururi usiku
-Anajali muda
-Anasali kila siku
-Anasoma
-Analala ifikapo saa 3 usiku juu ya alama.
*WATU HAWA ZAIDI WANAPATIKANA JELA*
-Anaamka saa 11 alfajiri kila siku.
-Anafanya mazoezi
-Anatandika kitanda chake
-Anasafisha chumba chumba
chake
-Anafanya kazi kwa bidii
-Hanywi pombe
-Anasaidia kazi za jikoni
-Hazururi usiku
-Anajali muda
-Anasali kila siku
-Anasoma
-Analala ifikapo saa 3 usiku juu ya alama.
*WATU HAWA ZAIDI WANAPATIKANA JELA*