Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wala simaanishi kuwa nampenda kimapenzi mkuu![emoji30]Anajua Unamzingua humpendi huku Ukijua Hana Chura![emoji14] [emoji14] [emoji6]
Inna!Sawa
AbeeeInna!
Huu utafit wako umeshirikiana TWAWEZA au*Mtu sahihi*
-Anaamka saa 11 alfajiri kila siku.
-Anafanya mazoezi
-Anatandika kitanda chake
-Anasafisha chumba chumba
chake
-Anafanya kazi kwa bidii
-Hanywi pombe
-Anasaidia kazi za jikoni
-Hazururi usiku
-Anajali muda
-Anasali kila siku
-Anasoma
-Analala ifikapo saa 3 usiku juu ya alama.
*WATU HAWA ZAIDI WANAPATIKANA JELA*
Sio kwa kunisusa hukoo??Huu utafit wako umeshirikiana TWAWEZA au
Sio kwa kunisusa hukoo??
StakiiiJaman week hii nzima leo ndio nimekuona
Nisamehe kwa hilo kipenz
Stakiii
Utajua mwenyew utanfanyia nnJaman nionee huruma nambie basi nikufanyie nin
Mbona umenipa 🙁 mtihan mgumu mamiyeUtajua mwenyew utanfanyia nn
Ndio ndo uufanyeMbona umenipa 🙁 mtihan mgumu mamiye
ngoja niumize Kichwa sasa ukisikia ukubwa ndio huuNdio ndo uufanye
Vp lakin weekend yako imeendajeNdio ndo uufanye
Poa tukutane badae kule kwetu tusijaze apa uzi wa watuVp lakin weekend yako imeendaje
Sawa ndio maana nakupendaPoa tukutane badae kule kwetu tusijaze apa uzi wa watu
Nimeshangaa au nimekutukana?Rafiki unashangaa nini tena?
Hebu mwambie huyo aache kunisanifu na flat screen yanguAnajua Unamzingua humpendi huku Ukijua Hana Chura![emoji14] [emoji14] [emoji6]
Ona sasa loh nilishaanza na kugugo magauni ya harusiWala simaanishi kuwa nampenda kimapenzi mkuu![emoji30]
Hapana npo kitaaUpo gerezan?!
Nimefurahi Ulivyoitika...natamani nikuite tena! Ila Sio hapa![emoji2] [emoji2] [emoji6]Abeee