Mujungukwenda
Member
- Jan 30, 2018
- 67
- 58
I see, yaani askari magereza eti eeh!*Mtu sahihi*
-Anaamka saa 11 alfajiri kila siku.
-Anafanya mazoezi
-Anatandika kitanda chake
-Anasafisha chumba chumba
chake
-Anafanya kazi kwa bidii
-Hanywi pombe
-Anasaidia kazi za jikoni
-Hazururi usiku
-Anajali muda
-Anasali kila siku
-Anasoma
-Analala ifikapo saa 3 usiku juu ya alama.
*WATU HAWA ZAIDI WANAPATIKANA JELA*
Siku hizi mnaruhusiwa kuwa na simu gerezani??Hiyo ni ratiba yangu
We si unajifanya uko bize na michepukoumenichunia sana
hapana sio hivyo..hunijibu Text zangu wiki ya 3 hii sijui nini mbayaWe si unajifanya uko bize na michepuko
Nimekununia unachepuka sanahapana sio hivyo..hunijibu Text zangu wiki ya 3 hii sijui nini mbaya
usinifanyie hivyo babeNimekununia unachepuka sana
Nimeshakufanyia sasausinifanyie hivyo babe
sio fairNimeshakufanyia sasa