Mtu ukiifikiria sana sheria jinsi ilivyo unaweza kuona uvivu kuchukua hatua za kisheria.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Sheria ni kama mchezo flani hivi wa akili.
Kwanza wanakuambia.

hakuna ushahidi ambao umewahi kukamilika 100%

Na hata kama ushahidi wako ulikamilika kwa 90% na ile 10% iliyobaki inaweza kumpa ushindi mwenzio na tena akakufungulia kesi ya madai ya kumzalilisha.

Na hicho ndicho kinacho wapa ujeuri mawakili wengi sana. na kila wakili utakaye mfuata atakuambia hamna kesi ambayo inaweza kumshinda kwasababu huwa wanajua hamna ushahidi ambao unakamilika 100%


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Law "Double Edged Sword" You Can't Avoid It Whether You Want Or Not.
"Fiat Justitia Rua Caelum"
Let The Justice Be Done
Even If The Heaven Fall.

NB; I'm Not A Lawyer But ALayman
Learning Law.
 
Are you sure..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…