Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtu akikuamkia ukiitika marahaba unamaanisha nini? kwann ukienda chooni unafunga mlango wakati unachokifanya kinafahamika na kila mtu anafanya.Wataalamu wa kiswahili nisaidieni kwa hili mtu unamkaribisha chakula halafu anasema Asante.Anamaanisha nini anakubali kula au vipi?
Inategemea na aina ya chakula..kuna vyakula vingine hata kama umeshiba unagonga tuInaamaanisha ame-appriciate ukarimu wako.
Sasa linabaki swala la njaa binafsi.
Kama ana njaa anakuja kupiga kitu kama hana atakausha
Sasa si umuulize huyo mtu mkuu sisi tutajuajeWataalamu wa kiswahili nisaidieni kwa hili mtu unamkaribisha chakula halafu anasema Asante.Anamaanisha nini anakubali kula au vipi?