Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100.

Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
 
Aiseee
Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then Leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100 .

Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.

Punguza chili, kila mtu maishani ana njia yake.

Acha kushikiria juu ya huyo Hzr kwa chili, omba toba na ku sahau. Labda kama ni mwanamke na hakukupa kileeee
 
Kufurahia anguko la mwenzako ni ishara ya roho mbaya na uchawi....!!
Haijalishi mtu alkuwa wa namna gan kama hakuwahi kutndea ubaya kufurahia anguko lake hakutakusaidia ktu au shda ni kwann alkuwa akipokea pesa zaidi yako masikini tutaendlea kuwa masikini tuh kwa roho za namna hiii
 
Mtu hawi maskini kwa kumsema mtu vibaya wala hawi tajiri kwa kumsema mtu vizuri.

Point of correction
 
Sio kosa lake ila ukweli Asilimia kubwa Watanzania tunategemea misharahara na marupurupu yanayotokana na kazi( Mfano magendo, hela za vikao, kusafiri)
Ila biashara au uwekezaji huwa hatuna ki ukweli.

Yaan mtu kuwa muwekezani huku ni muajiriwa ni ngumuu ki bongo bongo tuko hivyo.

Cha ajabu pia hata hakiba hatuweki yaan tunategemea kilichoko leo au mwezi huu. hivyo usishangae mshahara huo wa mwezi huu ndo ukawa ndo yuko nao peke yake hana kingine
 
Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100.

Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
Kila mwenye mtaji/pesa nchi hii anapaswa kuanzisha biashara? Huu ujinfa ndio unafanya watu wafilisik
 
Back
Top Bottom