Mtu wa aina hii ni mjinga

Mtu wa aina hii ni mjinga

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,229
Mtu anayejua majibu yote kuna uwezekano mkubwa haelewi maswali. Katika ulimwengu wa sasa ni vigumu sana kujua kila kitu, chagua vitu vichache unavyotaka kuvijua na vijue vizuri.
 
Back
Top Bottom