Galacha Maestro JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 1,353 Reaction score 2,229 Jan 27, 2016 #1 Mtu anayejua majibu yote kuna uwezekano mkubwa haelewi maswali. Katika ulimwengu wa sasa ni vigumu sana kujua kila kitu, chagua vitu vichache unavyotaka kuvijua na vijue vizuri.
Mtu anayejua majibu yote kuna uwezekano mkubwa haelewi maswali. Katika ulimwengu wa sasa ni vigumu sana kujua kila kitu, chagua vitu vichache unavyotaka kuvijua na vijue vizuri.