baada ya baadhi walimu wapya kutokosa mshahara wa mwezi wa nne halmashauri iliamua kuwakopesha hao walimu kiasi cha pesa matokeo yake mtu wa hazina amekuwa kikwazo na anawatolea walimu hao kauli chafu anawambia pesa ipo na siwapi si njaa njaa zenu zimewafanya muwe walimu.