utaishia kupigwa mizinga mpaka ukome,Mimi nina miaka 18. Ni mtanzania lakini siishi nchini. Niko nje kimasomo. Naongea English fluently na Kiswahili pia. Nataka tuchat WhatsApp ni inbox number.
I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your numberHiyo post iweke kwenye hiyo fluent English kwanza halafu mjadala uendelee
[emoji1]Hiyo post iweke kwenye hiyo fluent English kwanza halafu mjadala uendelee
Kwasababu namba kitu cha siri. Humpi kila mtu.Kwanini tukuinbox badala ya wewe uweke namba apa
UKnje wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Yea si unaona ni totoz mbichii kabisaUko fasta kuchangamkia fursa wewe...😀😀.
AhahahahahahhWatu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Ndo kwaanza wanamuuliza nje sehemu gani,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi pia nilitegemea kukuta kashfa kibao hapa
Kweli nje ni nje tuu