Mtu wa kuchat nae WhatsApp (mwanamke)

I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your number

Ujasema ni jinsia gan ebu tuambie kwanza tujue km ni mwanamk au mwanaume
Amesema kwa kiinglishi hapo juu!!!
Ila kiswahili alijua kijana ni kidume tu kumbe kijana wote me na ke!! Pia
 
Yaani dogo kawazidi akili aisee. Hahahahaaa. One word tuu (Nipo Nje), limebadilisha uelekeo wa thread. Hii kama ingekuwa katika soka tungeita super sub. ahahaaahaha
Watu full kujitoa Muhanga,
Kuna dogo juzi aliweka thread watu wakamuita ni lasaba waliomaliza mtihani,
yule dogo alipigwa madongo mpaka akatoweka JF,
Sasa nadhani Kizizi cha Kwa obama kina nguvu ya ziada,
CC Nyani Ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…