Hata Somalia na South Sudan ni nje ya nchi.Watu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
ahahWatu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Yea si unaona ni totoz mbichii kabisa[/QUOTE
Kiserengeti boy kibichi kabisaaaa
I am an 18 year old Tanzanian boy studying abroad looking for someone to chat with on WhatsApp. I'm fluent in both English and swahili. I just want to chat on WhatsApp. Inbox me your numberUjasema ni jinsia gan ebu tuambie kwanza tujue km ni mwanamk au mwanaume
Sio ya kuachia hiiHahahaaha, changamkia fursa hiyo.
HahahahahaWatu wameskia jamaa yuko nje hata umri hawana shida nao, lakini angekuwa Tz ungeskia ''mmeshafunga shule''
Hebu jaribu kumpiga mzingaHeheheh nakuja
Msumbijinje wapi?
Huna mke hapa, ni pepe sana huyu sio taipu yakoUko fasta kuchangamkia fursa wewe...😀😀.
Ngabu kazeeka eeeYea si unaona ni totoz mbichii kabisa
Eti ni mvulana!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Mvulana
Mama mzima unaenda kuwasapika na mvulana???Au kisa yupo nje???[emoji4][emoji4][emoji4]Bora nimekuona,nilikua natafuta wakuwasapika nae
Hahaahaha stunter wewe
ahah
Yani pamoja na uzee huu nilionao kwa kijana huyu uzee utayeyuka tu he heMama mzima unaenda kuwasapika na mvulana???Au kisa yupo nje???[emoji4][emoji4][emoji4]
mkwe usimjib huyo jamaa atakuaibisha kwa majibu yakeHuna mke hapa, ni pepe sana huyu sio taipu yako
Nani amekwambia natafuta kazi?Huna kazi ya kufanya? Nitafte nikupe kazi.