K kichakorojack Member Joined Sep 19, 2011 Posts 78 Reaction score 12 Jun 29, 2014 #1 Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni.
Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni.
Mom Fay JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 1,059 Reaction score 316 Jun 29, 2014 #2 Product gani
K kassamali JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 214 Reaction score 40 Jun 30, 2014 #3 kichakorojack said: Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni. Click to expand... Ndugu yangu wasiliana na hawa watu wape maelezo yako yote www.peroprinters.com
kichakorojack said: Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni. Click to expand... Ndugu yangu wasiliana na hawa watu wape maelezo yako yote www.peroprinters.com
A AfriNet Core Tz Member Joined Feb 7, 2015 Posts 30 Reaction score 12 Feb 25, 2015 #4 Nitafute kwenye 0755 257 508 / 0713 741 758
Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Feb 25, 2015 #5 Uko wapi?? Na maanisha mkoa gani