MTU WA KUNIPA KAZI ZA UMEME

MTU WA KUNIPA KAZI ZA UMEME

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
5,258
Reaction score
22,552
Naitaji mtu wa kunipa kazi za umeme.nina uzoefu wa kutosha na nimefanya kazi nyingi tu kama wewe ni mjenzi unayechukua kazi za umeme basi mimi nipo hapa.ukiamua kuniuzia kazi sawa tu au ukinikutanisha na boss nayo ni sawa tu kikubwa wote lazima tupate maslahi ya iyo kazi.

Uwaminifu ni mkubwa sana na pia kama ukitaji dhamana ipo maana nakaa kwenye kibanda changu kwa iyo siwezi kufanya chochote kibaya kwenye kazi.kama utaniuzia kazi basi sina bei nitafanya kwa chochote kitakachopatikana wala hatuwezi shindwana.

Karibu sana [emoji120]

Mawasiliano 0749247920
 
Back
Top Bottom