Mtu wa miraba minne.

allantence

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
353
Reaction score
301
wakuu
Naomba kuuliza ,je tunaposema mtu wa miraba minne tunamaanisha ni mtu wa aina gan?
Nawasilisha.
 
Ni mtu mwenye misuli mikubwa (haswa inayotokana na kufanya mazoezi kama ya kunyanyua vyuma n.k). Hiyo misuli ndio inamfanya mtu aonekane kama ana miraba vile. Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…