Jaman naomben kuuliza inawezekana mtu wa second selection akachaguliwa ..frst selection alio chagua kwenye kujaza vyuo
kwa mujibu wa updates toka tcu inawezekana ila uwe na div ya ukwel
Na kuna mtu kaenda kulekebisha tatizo lake juz .. alikua hajamalizia aplication anaweza akawa selected frst batch
We ndo kilaza kwel kozi ipo ndan ya fakat
first ni kwa wale waliokuwa makini kufuata maelekezo na kufanya machaguo sahihi. second na nyinginezo zitakazokuja ni kwa wale waliofany machaguo sahihi lkn hawakuchaguliwa kutokana na nafasi, pia wale ambao hawakufanya machaguo sahihi na wale ambao hawa kumaliza process ya admission.
hawezekani first batch ilishapelekwa kwa vyuo husika na ingine vimeshaa anza kutangaza.
duhh... kaz kwel kwel eti wamekosa umakini!!! ni comptation kaka.acha kudanganya!umeshaambiwa kuna first na second batch,first walishachaguliwa muda mrefu,second ndio wamechaguliwa wiki hii,ni vitu viwili tofauti vitatoka pamoja lakini vinatenganishwa ili ionekane second batch ni vijana waliokosa umakini katika selection.
Jaman naomben kuuliza inawezekana mtu wa second selection akachaguliwa ..frst selection alio chagua kwenye kujaza vyuo