mwalim.mkuu Senior Member Joined Jun 13, 2014 Posts 141 Reaction score 58 Sep 21, 2014 #21 imanmull said: Jaman naomben kuuliza inawezekana mtu wa second selection akachaguliwa ..frst selection alio chagua kwenye kujaza vyuo Click to expand... Hapa sjakusoma mkuu, second selection achaguliwe first selection
imanmull said: Jaman naomben kuuliza inawezekana mtu wa second selection akachaguliwa ..frst selection alio chagua kwenye kujaza vyuo Click to expand... Hapa sjakusoma mkuu, second selection achaguliwe first selection
L Logist Senior Member Joined Aug 13, 2014 Posts 158 Reaction score 35 Sep 21, 2014 #22 raji makuya said: duhh... kaz kwel kwel eti wamekosa umakini!!! ni comptation kaka. Click to expand... kukosa umakini naimanisha walio wengi walijaza bachelor nzito tupu bila kuangalia tokeo lake lakini pia watu awakuwa makini kupitia profile zao kuangalia competition na kuupdate kwa kubadilisha na tcu wametupa muda mrefu sana.
raji makuya said: duhh... kaz kwel kwel eti wamekosa umakini!!! ni comptation kaka. Click to expand... kukosa umakini naimanisha walio wengi walijaza bachelor nzito tupu bila kuangalia tokeo lake lakini pia watu awakuwa makini kupitia profile zao kuangalia competition na kuupdate kwa kubadilisha na tcu wametupa muda mrefu sana.